Ajali ya basi yaua, wanne wajeruhiwa Arusha

Ajali ya basi yaua, wanne wajeruhiwa Arusha

Ajali yaua mtu mmoja na kujeruhi wanne mkoani Arusha baada ya basi la abiria linalofanya safari zake kutoka Arusha kwenda Moshi kugonga gari lenye tela .brAjali nyingine yaua na Kujeruhi Mkoani Tanga. Kabla Majonzi ya vifo vya wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent hayajaisha wala kupungua ajali nyingine ya .brTaifa liliamkia taarifa za ajali mbaya ya barabarani. Watu 41 walifariki mkesha wa leo, pale basi walimokuwa wakisafiria lilipopata ajali katika eneo la Ntulele .brbrKatika hali ya kusikitisha watu 6 wafariki dunia mkoani Morogoro baada ya gari aina ya Noah kugongana na Basi katika hifadhi ya Mikumi.


User: MccloudElena17491584

Views: 3

Uploaded: 2017-07-01

Duration: 06:09