HAIJAWAHI KUTOKEA!MAZIKO YA DKT KABOUROU YAITINGISHA KIGOMA,MAEF WAJITOKEZA KUMUAGA

HAIJAWAHI KUTOKEA!MAZIKO YA DKT KABOUROU YAITINGISHA KIGOMA,MAEF WAJITOKEZA KUMUAGA

Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Kigoma wakiwemo viongozi wa Dini na wanasiasa mbali mbali wamejitokea kwa wingi kumsindikiza alikuwa mbunge wa kwanza kabisa jimbo la Kigoma Mjini mara baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza rasmi kupitia upinzani,lakini baadae alirudi ccm nakuwa mbunge wa afrika mashariki nabaadae mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kigoma


User: video bora

Views: 3

Uploaded: 2018-03-10

Duration: 35:59