Godbless Lema apishana na Mbowe Baada ya Rais Magufuli kufiwa na Dada yake

Godbless Lema apishana na Mbowe Baada ya Rais Magufuli kufiwa na Dada yake

Maneno aliyoandika Mbunge wa Arusha kupitia CHADEMA Mh. Godbless Lema baada ya Rais Magufuli kufiwa na Dada yake Monica Joseph Magufuli. Ameandika "Neno MUNGU AWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI ni uongo unao potosha neno la Mungu kwani hakuna maombi ya aliye hai yanaweza kupatanisha roho ya marehemu kwa uzima wa milele,kwani imeandikwa Mtu akisha kufa matendo yake yana mfuata. Rais Magufuli jipe moyo mkuu kwa msiba" - Godbelss Lema.br br Freeman Mbowe naye atoa pole kwa rais Magufuli kufiwa na dada yake Monica Magufuli. Amendiaka "Kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, na wana CHADEMA wote, natoa pole na salaam za rambi rambi kwa Mh.Rais @MagufuliJPM kwa kufiwa na dada yake Monica Magufuli. br Mungu awape faraja, na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi."br br Usipitwe na Matukio Muhimu kutoka Kenya, Tanzania na Uganda kwa Lugha ya Kiswahili katika channel hii. Subscribe sasa na bofya alama ya kengere inayotokea baada ya Subscribe. Fungua Link hii .


User: Trend Video en

Views: 3

Uploaded: 2018-08-20

Duration: 04:21

Your Page Title