#DIAMONDPLATNUMZ ALIVYOFANYIWA SUPRISE NA WAFANYAKAZI WA #WASAFITV

#DIAMONDPLATNUMZ ALIVYOFANYIWA SUPRISE NA WAFANYAKAZI WA #WASAFITV

Ikiwa Leo ni Kumbukumbu ya Kuzaliwa One of the Best and Biggest Artist Kwenye Industry ya Muziki Africa Pia C.E.O wa #Wcb #Wasafi na Mkurugenzi Mkuu wa #WasafiMedia #DiamondPlatnumzbr Wafanyakazi wa wasafitv leo Mapema Waliamua Kumfanyia Surprize #DiamondPlatnumz Ofisini Kwake, HeadQuoters za #WasafiMedia.


User: Dizi Fragman

Views: 2

Uploaded: 2018-10-03

Duration: 16:37