Mipango Ya Uzinduzi Wa Bandari Ya Lamu Alhamisi Yakamilika

Mipango Ya Uzinduzi Wa Bandari Ya Lamu Alhamisi Yakamilika

Bandari Ya Lamu Itapokea Meli Ya Kwanza Ya Kubebea Mizigo Kesho Kutwa Alhamisi Wakati Ambapo Shughuli Za Bandari Hiyo Zitaanza Rasmi. Uzinduzi Wa Mradi Huo Unatarajiwa Kuongozwa Na Rais Uhuru Kenyatta. Mradi Huu Unatarajiwa Kuleta Ajira Kwa Wakazi Wa Kaunti Ya Lamu Ambao Hutegemea Utalii Na Uvuvi Pakubwa. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.


User: EbruTVKENYA

Views: 3

Uploaded: 2021-05-18

Duration: 02:52

Your Page Title