Serikali Kuunganisha Umeme Kata Ndogo Ya Hulugho, Garissa

Serikali Kuunganisha Umeme Kata Ndogo Ya Hulugho, Garissa

Huenda Wakazi Kutoka Kata Ndogo Ya Hulugho, Kaunti Ya Garissa Wakanuafaika Na Mradi Wa Serikali Kuunganisha Umeme Sehemu Hizo Kwa Lengo La Kuimarisha Usalama. Waziri Wa Kawi Charles Keter Amesema Serikali Imetenga Bilioni 1.2 Itakayotumika Kuanzisha Na Kusambaza Umeme Kwa Shule, Nyumba Na Biashara Za Wakazi.


User: EbruTVKENYA

Views: 0

Uploaded: 2021-07-25

Duration: 02:46