Harun Aydin Afurushwa Kutoka Kenya

Harun Aydin Afurushwa Kutoka Kenya

Hatua Ya Kumfurusha Kutoka Kenya Harun Aydin, Raiya Wa Uturuki Mwenye Uhusiano Wa Karibu Na Naibu Rais William Ruto Imekoleza Udhia Baina Ya Serikali Na Mrengo Wa Chama Cha Jubilee Unaomuunga Mkono Naibu Wa Rais William Ruto. Mawakili Wa Aydin Wanasema Kuwa Hawatokoma Kumtafutia Haki Mteja Wao Ambaye Wanadai Anateswa Kisiasa.


User: EbruTVKENYA

Views: 1

Uploaded: 2021-08-09

Duration: 02:49