Kalonzo Amtaka Ruto Kueleza Anakotoa Hela Za Kampeni

Kalonzo Amtaka Ruto Kueleza Anakotoa Hela Za Kampeni

Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Anamtaka Naibu Rais William Ruto Kueleza Anakotoa Hela Anazotumia Katika Kampeni Zake. Akizungumza Katika Kaunti Ya Kitui, Kalonzo Pia Alisema Kuwa Hatishwi Na Safari Za Naibu Rais Katika Eneo La Ukambani Ili Kuendeleza Kampeni Zake.


User: EbruTVKENYA

Views: 0

Uploaded: 2021-11-07

Duration: 01:26

Your Page Title