Kijana Wa Miaka 22 Asombwa Na Maji Akipiga Mbizi

Kijana Wa Miaka 22 Asombwa Na Maji Akipiga Mbizi

Imekuwa Ni Siku Ya Majonzi Kwa Shirika La Huduma Kwa Vijana Huko Bukirisamia, Budalangi Baada Ya Mmoja Wao Kusombwa Na Maji Katika Ziwa Victoria. Collins Bwire Aliaga Dunia Alipokuwa Akiogelea Ziwani Victoria Katika Ufuo Wa Hotelini Ya Che's Iliyoko Kaunti Ya Busia. Akithibitisha Kisa Hicho, Naibu Kamishena Kaunti Ndogo Ya Bunyala Grace Ouma, Amesema Uchunguzi Wa Kifo Hicho Unaendelea.


User: EbruTVKENYA

Views: 4

Uploaded: 2021-11-08

Duration: 02:37