Wizara Ya Elimu Yaelekeza Ulinzi Mkali Kuimarishwa Shuleni

Wizara Ya Elimu Yaelekeza Ulinzi Mkali Kuimarishwa Shuleni

Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Mioto Shuleni, Wizara Ya Elimu Sasa Inanuwia Kuweka Mikakati Thabiti Itakayolenga Kukomesha Visa Kutokea. Katika Waraka Uliotolewa Hivi Leo ,Wizara Ya Elimu Imeelekeza Ulinzi Mkali Kuimarishwa Katika Shule Mbalimbali Nchini Ili Kuhakikisha Kuwa Usalama Unadumishwa Na Kutupilia Mbali Swala La Utovu Wa Nidhamu Shuleni.


User: EbruTVKENYA

Views: 2

Uploaded: 2021-11-10

Duration: 01:43

Your Page Title