Tume Ya IEBC Yasema Haina Uwezo Wa Kuzuia Wanasiasa Watoro

Tume Ya IEBC Yasema Haina Uwezo Wa Kuzuia Wanasiasa Watoro

Tume Ta Uchaguzi Nchini IEBC Sasa Imekiri Kwamba Haina Uwezo Wa Kuwazuia Wanasiasa Wanaovunja Sheria Za Uchaguzi. Huku Akikubali Kwamba Wanasiasa Wengi Wanavunja Sheria Za Uchaguzi Kama Vile Kuandaa Kampeni Za Mapema Mwenyekiti Wa Iebc Wafula Chebukati Anasema Kuwa Tume Hiyo Haina Mamlaka Ya Kuwazuia.


User: EbruTVKENYA

Views: 2

Uploaded: 2021-12-08

Duration: 02:19

Your Page Title