Rais Kenyatta Awaomba Wakuu Kuwasikiliza Vijana Walio Vikosini

Rais Kenyatta Awaomba Wakuu Kuwasikiliza Vijana Walio Vikosini

Polisi Ilyewaua Watu Sita Alikuwa Katika Uchunguzi Mkali Wa Wapelelezi Baada Ya Kumpiga Risasi Mtu Mmoja Eneo La Mountain View Miezi Minane Iliyopita. Kabla Ya Kuwauwa Watu Sita Hapo Jana, Benson Imbatu Anasemekana Kuwa Katika Hali Mbaya Ya Msongo Wa Mawazo Kufuatia Mizozo Ya Mara Kwa Mara Na Mpenziwe. Imbatu Alitoka Kazini Na Kuelekea Nyumbani Na Kisha Kumpiga Risasi Risasi Mpenziwe Carol Kabla Ya Kuwauwa Wengine Watano.


User: EbruTVKENYA

Views: 1

Uploaded: 2021-12-08

Duration: 03:35