Mradi Wa Maji Safi Kuwafaidi Wakaazi Katika Kitongoji Duni Cha Manera

Mradi Wa Maji Safi Kuwafaidi Wakaazi Katika Kitongoji Duni Cha Manera

Wakaazi Wa Kitongoji Duni Cha Manera Kilichoko Naivasha Kaunit Ya Nakuru Wanakila Sababu Ya Kutabasamu Baada Mradi Wa Maji Safi Kuzinduliwa Miaka 20 Baadae. Mradi Huo Ambao Utafaidi Familia 150, Ni Wa Manufaa Kwa Wakaazi Hao Ambao Wamekuwa Maskwota Katika Shamba La Delamere Kwa Zaidi Ya Miaka 60 Kabla Ya Kuhamishwa Na Kuanza Kuishi Waliko Wakati Huu.


User: EbruTVKENYA

Views: 32

Uploaded: 2021-12-14

Duration: 03:28

Your Page Title