Matumaini Ya Kumwokoa Tom Okwach Kutoka Mgodi Wa Abimbo Yazidi Kudimimia.

Matumaini Ya Kumwokoa Tom Okwach Kutoka Mgodi Wa Abimbo Yazidi Kudimimia.

Ni Siku Chache Tangu Mgodi Wa Dhahabu Kuporomoka Katika Eneo La Abimbo Kaunti Ya Siaya. Juhudi Za Kumwokoa Tom Okwach Aliyesalia Mgodini Humo Zimeambulia Patupu, Huku Wanaohusika Katika Shughuli Ya Uokoaji Na Hata Familia Wakilalama Kuwa Serikali Ya Kitaifa Na Ile Ya Kaunti Imelegea Katika Kuwapa Msaada Wa Kufanikisha Shughuli Hiyo.


User: EbruTVKENYA

Views: 8

Uploaded: 2021-12-15

Duration: 02:35

Your Page Title