Musalia Mudavadi,William Kabogo Wasema OKA Ingalipo Na Itatwaa Urais Kumrithi Rais Uhuru

Musalia Mudavadi,William Kabogo Wasema OKA Ingalipo Na Itatwaa Urais Kumrithi Rais Uhuru

Viongozi Wa Muungano Wa One Kenya Alliance Wameshilia Kwamba Muungano Wao Ungali Dhabiti Na Kuwa Hivi Karibuni Watamtaja Mgombea Wao.Kinara Wa Chama Cha ANC Musalia Mudavadi,Mwenzake Wa Chama Cha Jibebe William Kabogo Na Viongozi Wengine Vilevile Wametupila Mbali Dhana Kuwa Uchaguzi Mkuu Ujao Ni Wa Farasi Wawili Pekee Kwani Wanayo Matumaini Makubwa Ya Kumrithi Rais Uhuru Kenyatta.


User: EbruTVKENYA

Views: 13

Uploaded: 2022-01-09

Duration: 04:05