Koome Ashikilia Kuwa Ufisadi Umeadhiri Hudma Kwa Wakenya Mahakamani

Koome Ashikilia Kuwa Ufisadi Umeadhiri Hudma Kwa Wakenya Mahakamani

Jaji Mkuu Martha Koome Sasa Ameshikilia Kuwa Ufisadi Umeathiri Huduma Kwa Wakenya Na Kuwalazimu Kusubiria Mikaka Kadhaa Kabla Ya Kesi Zao Kusikilizwa Na Kuamuliwa. Akizungumza Kaunti Ya Mombasa Masaa 24 Kabla Ya Kuongoza Mahakama Ya Upeo Kusikiliza Kesi Ya Bbi, Koome Amewaelekeza Majaji Kusikiliza Na Kuamua Kesi Za Zamani.


User: EbruTVKENYA

Views: 7

Uploaded: 2022-01-17

Duration: 02:31

Your Page Title